Skip to main content

Posts

Showing posts from June 9, 2016

JE UNATAKA KUSHIRIKI TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2017

WAHI KUJAZA FOMU ZA MAOMBI. TAREHE YA MWISHO YA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 31 JULY 2016TAMASHA hili ni pia linakaribisha wasanii kutoka nchi za kiarabu na nchi zinazoguswa na Bahari ya Hindi.Ili kushiriki unatakiwa utume cd au DVD 2 za kazi uliyorekodi karibuni, maelezo yako mafupi na picha mbili zenye ubora.Fomu za maombi zinapatikana kupitia anwani hiiapplication form

RAIS WA CHAMA CHA MUZIKI GHANA AONYA KUHUSU NYIMBO ZENYE MANENO YASIYO NA STAHA NCHINI MWAKE

Rais wa Musicians Union of Ghana Bice Osei Kuffour amelaani matumizi ya lugha zisizona staha katika nyimbo za wanamuziki wa Ghana. Katika barua ambayo aliiweka katika mtandao wa kijamii wa chama hicho, Rais huyo ambae karibuni kachaguliwa tena kuongoza cham hicho alisem kuwa mtindo wa kuimba nyimbo zisizo na lugha ya staha umeanza kukua na kukomaa taratibu, na bahati mbaya muziki huu unapigwa katika muda ambao unasikika hata na watoto wadogo na pia unapewa nafasi kubwa katika mitandao ya kijamii. Barua halisi hii hapa

The Musicians Union of Ghana (MUSIGA) has noted with concern, the rising incidence of profane lyrics in songs released by Ghanaian musicians. This current trend is particularly disturbing considering the fact that these songs are played without any radio edits on primetime radio and given wide currency on social media.
In that regard, the Union is calling on musicians and song writers in Ghana to desist from writing songs with profane lyrics. As much as the Union appreciat…

PAYUS & MECRASS, WANAMUZIKI TOKA MWANZA WAACHIA KIBAO KIPYA

RUSHWA KATIKA TASNIA YA MUZIKI HAIKUANZA JANA WALA JUZI

Leo nitaongelea jambo ambalo lipo lakini gumu kulisikia likiongelewa maana wanaoweza kuliongelea ndio watuhumiwa wakubwa wa jambo hilo. Rushwa limekuwa tatizo kubwa katika nchi yetu, karibu kila siku utasikia habari za rushwa kwenye mikataba, katika kutafuta haki, huduma na kadhalika. Sanaa ya muziki haijakwepa hilo tatizo japo ni mara chache sana kusikia likiongelewa, hii ni ni kutokana na sifa moja ya rushwa, muathirika anakuwa katika nafasi ambayo anajua akilalamika ndio atakosa hata kidogo anachokipata, wala rushwa huwa na umoja sana himaya yao inapotikiswa. Rushwa katika muziki si jambo geni hata kidogo na limetia hasara wanamuziki wengikwa miaka mingi na kukosesha wapenzi wa muziki kusikia nyimbo nyingi nzuri miaka nenda rudi. Rushwa imekuwa ikifanywa kwa sababu mbalimbali katika nyakati tofauti. Katikati ya miaka ya 70, kulikuweko na mkanganyiko wa kisiasa kati ya Tanzania na Kenya, hali hii ilifikia mpaka mipaka ya nchi hizi mbili kufungwa. Hili liliathiri ule utaratibu wa wan…