Friday, November 9, 2012

Walter Winner EBSS 2012


Walter Chilambo
Salma Yusuph
Hatimae Epic Bongo Star Search yafikia fainali, mshindi wa kwanza ni Walter Chilambo na wa pili ni Salma Yusuph. Walter ameondoka na kitita cha shilingi milioni hamsini. Hongera Walter, una sauti nzuri sana, Mungu akusaidie upate watu watakaokuongoza vizuri kwenye muziki.

KONYAGI WAINUNULIA VYOMBO MSONDO NGOMA

KONYAGI wafanywa maajabu, wawanunulia Msondo Ngoma vyombo vya milioni hamsini na kuvikabidhi kwa bendi leo hii katika viwanja vya Leaders Club, baada ya hapo Msondo walitoa burudani ya nguvu kama kawaida yao