Skip to main content

Posts

Showing posts from April 25, 2013

WALIOTEULIWA KILIMANJARO MUSIC AWARDS-KIKWETUKWETU

Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,kutoka BASATA Bwana Anjelo Luhala akitangaza majina ya walioteuliwa kuingia kwenye mchakato wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Juni 8, 2013, Mlimani City jijini Dar.
WIMBO BORA WA MWAKA 
Dear God - Kala Jeremiah  Leka dutigite - Kigoma all star  Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe  Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee  Pete- Ben pol 
MSANII BORA WA KIUME  Ben Pol  Diamond  Linex  Mzee Yusuf  Ommy Dimpoz 
MSANII BORA WA KIKE  Isha Mashauzi  Khadija Kopa  Lady Jaydee  Mwasiti  Recho 
MSANII BORA WA KIKE - TAARAB  Isha Mashauzi  Khadija Kopa  Khadija Yusuph  Leila Rashid
MSANII BORA WA KIUME - TAARAB Ahmed Mgeni  Hashim Said  Mzee Yusuf 
MSANII BORA WA KIUME - BONGO FLAVA 
Ally Kiba  Ben Pol