Sunday, July 31, 2011

Kalunde Band wakiwa Giraffe Ocean View Hotel

Kundi la Kalunde limekuwa sana kuanzia pale lilipokuwa na wanamuziki wachache chini ya Deo Mwanambilimbi miaka kadhaa iliyopita. Lazima sifa zitolewe maana makundi mengi yameanza tena kwa kishindo na kuishia hewani lakini hili limekuwa linakuwa kila mwaka. Kuingia kwa Bob Rudala na Anania Ngoliga kutaendeleza sana uwezo mkubwa wa kundi hili.
Anania Ngoliga na Bob Rudala

Bonny Kamprobo


Edson

Othman Majuto, mwanaye King Majuto

Mwakichui

Kachumbari


Mwakichui na Deo Mwanambilimbi

Vero

Aminata

Rudala kwenye drums

Deborah Chacha


Anania na Deborah

Anania NgoligaKanku Kelly aelekea Thailand


Mwanamuziki mkongwe wa siku nyingi Kanku Kelly alilazimika kuondoka kabla ya kushiriki usiku wa Sauti za Kale baada ya kulazimika yeye na bendi yake Kilimanjaro Connection kulazimika kuwahi mkataba ambao aliupata katika nchi ya Thailand. Kanku pia amesindikizana na mwanamuziki mwingine mkongwe Mafumu Bilali ambaye ilikubalika japo ashiriki katika onyesho la Sauti za Kale na kesho yake kupanda ndege kumfuata Kanku Kelly. Wanamuziki wote wawili licha ya kushiriki kikamilifu  na kutoa mchango mkubwa katika kundi la wanamuziki wakongwe pia walishiriki katika kurekodi nyimbo tatu ambazo kundi hili lilirekodi