Skip to main content

Posts

Showing posts from August 22, 2012

Miss East Africa Belgium 2012...tumuunge mkono

Miss East Africa Belgium 2012

Huyu ndiye mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali za Miss East Africa Belgium zitakazofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre Ili kumuunga mkono, unaingia kwenye ukurasa wake wa Facebook (https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012) na ku'Like' ili aongeze idadi ya kufahamika kwake. Tumuunge mkono mwakilishi wetu huyu kwa kupitia ukurasa wake wa Facebook