Tuesday, November 22, 2011

Twanga Uingereza kwa mara nyingine

Ok wakazi wa UK mambo hayo yaja kwenu kukosa ni kosa. Sherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kusugua kisigino

MUZIKI NA FILAMU NI NDUGU

MUZIKI na filamu ni ndugu, japokuwa muziki ulikuweko kabla ya filamu. Filamu za kwanza zilipoanza kutengenezwa, kulikuwa...