Sunday, November 10, 2013

ASIA IDAROUS WA FABAK FASHIONS AFANYA ONYESHO LA 5 LA KANGA ZA KALE

Ijumaa tarehe 8 Oktoba ilikuwa siku changamfu pale Serena Hotel, ambapo Fabak Fashions walifanikiwa kufanya onyesho la tano la Kanga za Kale. Katika korido ya kuingilia ukumbi kulikuweko na maonyesho ya kanga za aina tofauti na ndani kulikuwa na maonyesho ya wabunifu mbalimbali walioonyesha staili mbalimbali za mitindo kutumia khanga.
Mgeni Rasmi alikuwa mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania. Kundi la Isha Mashauzi lilitoa burudani kusindikiza shuguli hii iliyofana. Angalia picha za matukioVIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...