Sunday, August 5, 2012

Mkutano wa viongozi wa bendi

Baraza la Sanaa la Taifa kwa ushirikiano na CHAMUDATA, linawaalika viongozi wote wa bendi, kuhudhuria kikao juu ya Tamasha Hai la Muziki siku ya Jumanne pale Afri Center Ilala, kuanzia saa 5 asubuhi 

Tufurahi Week end na Afro70


RATIBA YA MSIBA NA MAZISHI YA MKE WA WAZIRI MWAKYEMBE

Mke wa mheshimiwa Waziri wa habari Utamaduni na Michezo, Dr Harrison Mwakyembe, Bi Linah Mwakyembe amefariki usiku wa kuamkia jana Jumapil...