Sunday, August 26, 2012

SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA ERIC SHIGONGO


RATIBA YA KUMUAGA MAREHEMU MZEE JAMES BUKUMBI, BABA MZAZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA GLOBAL PUBLISHERS LTD, BW. ERIC SHIGONGO, LEO JUMATATU 27.8.2012
 SAA 3 ASUBUHI- MWILI KUFUATWA MOCHWARI LUGALO HOSPITAL
SAA 5 ASUBUHI- MWILI KUWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU KIJITONYAMA
SAA 6 MCHANA- IBADA YA KUMUOMBEA MAREHEMU
SAA 7 MCHANA- SADAKA
SAA 8 MCHANA- KUAGA MWILI WA MAREHEMU
SAA 9 ALASIRI- KUELEKEA UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA MWANZA SIKU YA JUMANNE
SHUGHULI ZITAKUWA KIJITONYAMA KARIBU NA HEKO MOTEL

BONZO KWEMBE NA JOHN KITIME


IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...