Skip to main content

Posts

Showing posts from May 1, 2013

LADY JD ATOA WOSIA... RUGE MTAHABA NA JOSEPH KUSAGA WASIHUDHURIE MSIBA WAKE

Katika hali ambayo haijawahi kutokea katika tasnia ya muziki kwa kumbukumbu zangu za miaka zaidi ya 30 ambayo nimekuwa mwanamuzikiMWANAMUZIKI LADYJD AMETOA MATAMKO MAZITO SANA KATIKA BLOG YAKE. Pamoja na mengine mengi ametamka maneno ambayo huchukuliwa kwa uzito sana katika jamii ya Kiafrika, nanukuu…… Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu.

Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige wame
Enyi mtakaokuwa hai baada yangu….. haya ndiyo yote aliyoandika……….


WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA

Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection kat…