Wednesday, August 15, 2012

Ngoma Africa yapokea tuzo la International Diaspora Award


Ras Makunja baada ya kupokea Tuzo
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band siku ya Jumamosi 11,Agosti 2012, walishambulia jukwaa na la International Africa Festival 2012,Tubingen, Ujerumani, na kuhakikishia washabiki kuwa FFU burudani kali ya muziki. Bendi hii ambayo imejizolea sifa kubwa kutokana na uwezo wake wa kulishambulia jukwaa, ilionyesha umahiri wake na hatimae kiongozi wa bendi hii, alipokea tuzo ya kimataifa ya
"International Diaspora Award" kwa niaba ya bendi hiyo.

Ray azungumzia tatizo jingine kubwa katika tasnia ya filamu

    
Ray Kigosi(Picha toka http://raythegreatest.blogspot.com/)                                   
Swala la wasanii kuuza haki zao kwa wasambazaji ni tatizo kubwa sana, kwani kiutendendaji msambazi anataka haki tu za kusambaza, hivyo kumuuzia haki zote ni kupoteza haki nyingine ambazo msanii angeweza kuzitumia kumuongezea kipato. Kwa mfano fedha za matangazo katika filamu zingekuwa mali ya mwenye filamu ingekuwa hakuuza haki zake zote. Mapato kutokana na filamu kurushwa hewani na haki namna hiyo. Katika hali ambayo ni nadra kuisikia Ray Kigosi amezungumzia hilo BOFYA HAPA

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...