Thursday, July 21, 2011

Aisha Mbegu ajiunga na Extra Bongo

Mcheza show maarufu Aisha Mbegu anaefahamika zaidi kama Aisha Madinda amejiunga na Extra Bongo. Aisha alitambulishwa na kiongozi wa Bendi hiyo Ally Choki katika ukumbi wa Mzalendo ulioko Millenium Pub Kijitonyama

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...