Thursday, June 9, 2011

Wapapasa vinanda wakutana Muscat Oman

 
Wapapasa vinanda wawili wa Kitanzania walioko nje ya nchi wakutana huko. Saley Amor aka Zungu hapa akiwa na mkongwe Hassan Shaw ambaye anapiga muziki Thailand