Skip to main content

Posts

Showing posts from March 17, 2012

Anania Ngoliga leo kutembelea Njenje

Kila mara kuwa jukwaa moja na Anania huwa ni raha ya pekee. Ni mwanamuziki mwenye uwezo unakufanya na wewe ujitahidi na hivyo kuishia kuwa na kitu kitamu zaidi.

Mashujaa na Machozi Band, napenda sana mawazo mapya, Colabo safi mahala na muda muafaka USIKOSE