Sunday, June 19, 2011

Jifunze muziki sasa


       AlphaBeta Music Centre 
Je ungependa kujua Kusoma, Kuandika, Kuimba na Kupiga Ala mbalimbali za kisasa za muziki? Kama ndivyo, basi waone AlphaBeta Music Centre waliopo TABATA Liwiti mkabala na shule ya msingi au wasiliana nao kwa simu +255 754 77 66 40 au +255 784 737 216.  Usiikose fursa hii!!!!!

MUZIKI NA FILAMU NI NDUGU

MUZIKI na filamu ni ndugu, japokuwa muziki ulikuweko kabla ya filamu. Filamu za kwanza zilipoanza kutengenezwa, kulikuwa...