Wednesday, April 20, 2011

Kundi jipya la muziki laanzishwa

 Kundi jipya la muziki liko mbioni kusukwa. Kundi hili limejipa jina la Yakwetu Band liko katika mazoezi makali kama lilivyokutwa katika ukumbi wa Makumbusho. Vijana hawa wenye ujuzi na nia ya hali ya juu kuwa na kitu chao tayari wana nyimbo tatu.
RAMADHAN RASHID
RAMADHAN MZEE-'BABU'


MIRAJI HUSSEIN

OTHMAN 'KING' MAJUTO

GEORGE B CHOKA


YAKWETU BANDTARATIBU ZA KUJIUNGA NA COSOTA