Thursday, October 6, 2011

Wapiga drum wawili wafiwa na dada yao

Wapiga drums Martin Kibosho wa Extra Bongo, na James Kibosho wa Twanga Pepta,wamefiwa na dada yao Beatrice Kibosho aliezikwa katika makaburi ya Mburahati jana 6/10/2011

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...