Skip to main content

Posts

Showing posts from October 22, 2012

MZEE MANYEMA NA SINZA SOUND BAND

Thea na Mike lokesheni kwenye kushoot filamu mpya

Staa wa Bongo Movies, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’  na mumewe Michael Sangu ‘Mike’ leo nimewakuta wakiwa 'lokesheni' wakitengeneza filamu inayo 'direktiwa na Mike. Wakiwa wenye furaha sana kuonyesha jinsi maisha yao kwa ujumla yalivyo. Big up guys