Thea akimtengeneza, 'my husband wake' Mike kabla ya kuanza shooting |
Ndoa yenye furaha haijifichi |
Staa wa Bongo Movies, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na mumewe Michael Sangu ‘Mike’ leo nimewakuta wakiwa 'lokesheni' wakitengeneza filamu inayo 'direktiwa na Mike. Wakiwa wenye furaha sana kuonyesha jinsi maisha yao kwa ujumla yalivyo. Big up guys
Comments