Wednesday, May 4, 2011

Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2011 watangazwa rasmi leo

Kilimanjaro Premium Lager na BASATA leo wametangaza rasmi washindi wa Kilimanjaro Music Awards 2011. Na katika shughuli hiyo pia imetangazwa ratiba ya wasanii hao katika maonyesho yatakayokuwepo katika mikoa mitano ya Tanzania ambayo ni Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Moshi. Kwa maelezo zaidi BONYA HAPA

Wanamuziki wa zamani mazoezini tayari kwa kuingia studio

Kundi la wanamuziki wakongwe limeingia kambini tayari kwa kufanya onyesho lao la Sabasaba kama walivyofanya mwaka jana, na pia mazoezi  tayari kwa kutoa album ya miaka 50 ya UHURU. Wanamuziki hawa ambao wanafanya mazoezi katika eneo la mazoezi la Kilimanjaro Band, watakuwa mazoezini kila Jumatatu, Jumanne na Jumatano kuanzia saa 4 asubuhi hadi  saa 11 jioni.
Mzee Sangula Bass


Mafumu Bilali

Kanku Kelly

Hamza Kalala


Kasongo Mpinda Clayton

Mzee King Kiki

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...