Wednesday, March 19, 2014

VIONGOZI WA BENDI KUKUTANA BASATA TAREHE 25 MARCH 2014

TANZANIA MUSICIANS NETWORK wakishirikiana na BASATA  watafanya warsha ya kwanza ya siku moja kwa viongozi wa bendi  na vikundi vingine vya muziki, Warsha hii itakuwa ya kwanza katika warsha za kubadili mwelekeo wa maendeleo ya muziki wa bendi Tanzania. Warsha hii itafanyika katika Ukumbi wa Basata siku ya Jumanne tarehe 25 March kuanzia saa nne asubuhi. Viongozi wa bendi mbalimbali karibuni

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...