Wednesday, August 3, 2011

Wana Extra Bongo

Rogart

Extra Bongo ni bendi iliyoko chini ya Ally Choky mwanamuziki muimbaji na mtunzi wa miaka mingi, kundi hili lililo kubwa kwa kufuata mfumo wa vikundi kama Wenge imekuwa na wapenzi kila kona nchini. Kuwepo kwa Banza , Rogart Catapillar, Ferguson, na mcheza show Aisha Madinda inaliweka kundi zima katika nafasi ya kutoa burudani kubwa ya upinzani kwa bendi nyingine zenye muziki unaofanana na wa bendi hii.


Choky


Banza


Hamza Kalala jukwaani


MUZIKI NA FILAMU NI NDUGU

MUZIKI na filamu ni ndugu, japokuwa muziki ulikuweko kabla ya filamu. Filamu za kwanza zilipoanza kutengenezwa, kulikuwa...