Monday, December 24, 2012

BI SHAKILA NA PATRICIA HILLARY JUKWAANI

Bi Shakila

Mridu veterani katika solo

Toka kushoto Mape Mbwana (Binti ya Shakila), Patricia hillary, Bi Shakila
Ladha ya taarab ya Bi Shakila na Patricia Hillary ni tofauti sana na aina ya taarab iitwayo modern taarab. Kwa wengine hiyo huitambua kama ndiyo taarab halisi. Hapa ni picha za wawili hao wakitoa burudani katika harusi ilikuweko Mlimani City

RATIBA YA MSIBA NA MAZISHI YA MKE WA WAZIRI MWAKYEMBE

Mke wa mheshimiwa Waziri wa habari Utamaduni na Michezo, Dr Harrison Mwakyembe, Bi Linah Mwakyembe amefariki usiku wa kuamkia jana Jumapil...