Sunday, August 21, 2011

Msongo Group yashinda tuzo ya EMA

Alyeshika Tuzo Roman Mng'ande mpiga trumpet wa Msondo Group, aliyeshika microphone, ni meneja wa Msongo Group Bwana Kibiriti
Msondo Ngoma Baba ya muziki imedhihirisha cheo chake hicho kwa kushinda Tuzo za EMA katika kundi la Best Rumba Group, waliingia tuzo hiyo kwa kutumia wimbo wao mtamu Kalunde. Hongera sana Msondo Group

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...