Friday, October 31, 2014

WASANII HAWAKO JUU YA SHERIA

KATIKA zama hizi za karibuni kumekuweko na mambo mengi yanayofanywa na wasanii kwa kisingizio cha sanaa au usanii. Na kati ya mambo haya kuna mengine ni uvunjaji wa sheria za nchi na mengine ni ukiukaji wa maadili ya kawaida ya Watanzania walio wengi. Mambo haya yamekuwa yakifanywa mara nyingine kwa kutojua lakini mara nyingi kwa makusudi kabisa, imefika muda wa kuamshana kuwa wasanii ni raia kama wengine  hivyo wanatakiwa kufuata sheria, taratibu na tamaduni zilezile ambazo watu wengine huzifuata. Pia wasaniiINAENDELEA

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...