Saturday, November 9, 2013

SHEREHE ZA KUHITIMU WA KOZI ZA UENDESHAJI SHUGHULI ZA SANAA..KITUO CHA PARAPANDA THEATRE LAB

PARAPANDA THEATRE LAB LEO WALIKUWA WAKITOA VYETI KWA WAHITIMU WA KOZI MBALIMBALI ZILIZOFANYIKA HAPO AMBAZO ZILIKUWA ZIKIHUSU TAALUMA MBALIMBALI KATIKA SANAA ZA MAONYESHO. MSANII JOHN KITIME ALIKUWA MGENI RASMI NA KUPATA NAFASI KUGAWA VYETI KWA WALIOFUZU


Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...