Saturday, April 16, 2011

MHINA PANDUKA 'TOTO TUNDU' ATEMBELEA NK BAND


KARIBU KILA SIKU KUNA BENDI INAYOPOROMOSHA MUZIKI KATIKA BAR YA NK ILIYOPO KINONDONI KARIBU NA MANGO GARDEN. PAMOJA NA KUWA MANGO HUWA KUNAKUWA NA BENDI ZENYE MAJINA MAKUBWA NA UMAARUFU MKUBWA BENDI HII NDOGO AMBAYO MARA NYINGI HUWA HAIZIDI WANAMUZIKI WATANO HUENDELEA KUPOROMOSHA MUZIKI WA ZILIPENDWA BILA WASIWASI WOWOTE. HII HUWEZESHA WANAMUZIKI WENGINE WASIO WANAMUZIKI WA BENDI HII KUPANDA JUKWAANI NA 'KUJAM' NA BENDI HII KAMA NILIVYOMKUTA MUIMBAJI WA MIAKA MINGI MHINA PANDUKA 'TOTO TUNDU' AKIIMBA MDUARA WA SIKU NYINGI...'LEOOO NI LEOOO TUTAUONA MPAMBANO KWELI SI UWONGO...'

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...