Saturday, July 2, 2011

The Excel Band

Juma Gohela yupo stejini tangu enzi za Atomic Jazz
Nilipita mitaa ya Rufita kuleee Tabata nikasikia wimbo wa Dr Remmy 'Mashine', hapa nikakuta bendi inapiga nyimbo nyingi za Matimila, kama ulikuwa unampenda Dr hii ni bendi ya kwenda kupitia. Hapo nilimkuta mpiga drum wa Dr Remmy akiwa ndiye kiongozi wa bendi, mwanae Remmy ni mmoja wa waimbaji wa bendi hii

Musa Magoha

Sugwa- kiongozi wa bendi

Mlokole

Zozo Stewart alikuweko enzi za KimulimuliFreddy Siage wa enzi za Mwenge, Maina alikuja akitokea kwenye bendi yake


Mwanae Remmy, Maina


The Shikamoo Jazz

 Contrary to a common belief that live music is on the death bed in Tanzania, a music tour on any Friday in many urban areas in Tanzania will prove that the belief that is false. Lots of bands with many musicians, who are not interested in getting their stories in the media,(maybe they have lost faith in the type of reporting), or recording new songs that are on stage  every week. The music, the dancing brings back memories of the music scene of the 90s and the period before that. It is an experience to sample this fantastic music
Mzee Salum Zahoro 75 years old and still active on stage


Ally AdinaniToka enzi za Kiko KidsMzee Majengo since Dar Jazz Orchestra Maquis du Zaire and now  Shkamoo Jazz

Meet the Bamis Band

Amina Chocholi

Hamis Master
Nilipita maeneo ya Sinza ghafla nikasikia kibao cha Kimakonde kilichowahi kutamba sana enzi hizo kikipigwa wakati huo na bendi ya jeshi toka Arusha iliyoitwa Les Mwenge. Kibao hicho 'Kilamunu ave na kwao' kilinifanya nitake kujua bendi gani inapiga wimbo huo?  Na nikakuta wanamuziki vijana kabisa na bendi yao inaitwa Bamis Band. Bendi hii makao yake makuu yako Msasani ilinikaribisha jukwaani tukapiga pamoja wimbo wa Tancut Almasi Orchestra Masafa Marefu, ilikuwa raha japo nyuzi za magitaa yao zilikuwa zimekwisha tumika mno na hivyo kupoteza sehemu kubwa ya ladha ya onyesho lao
Adam Hassan

Said Mlinge

Hussein

Likwambe

Aresha

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...