Juma Gohela yupo stejini tangu enzi za Atomic Jazz |
Nilipita mitaa ya Rufita kuleee Tabata nikasikia wimbo wa Dr Remmy 'Mashine', hapa nikakuta bendi inapiga nyimbo nyingi za Matimila, kama ulikuwa unampenda Dr hii ni bendi ya kwenda kupitia. Hapo nilimkuta mpiga drum wa Dr Remmy akiwa ndiye kiongozi wa bendi, mwanae Remmy ni mmoja wa waimbaji wa bendi hii
Musa Magoha |
Sugwa- kiongozi wa bendi |
Mlokole |
Zozo Stewart alikuweko enzi za Kimulimuli |
Freddy Siage wa enzi za Mwenge, Maina alikuja akitokea kwenye bendi yake |
Mwanae Remmy, Maina |
Comments