Meet the Bamis Band

Amina Chocholi

Hamis Master
Nilipita maeneo ya Sinza ghafla nikasikia kibao cha Kimakonde kilichowahi kutamba sana enzi hizo kikipigwa wakati huo na bendi ya jeshi toka Arusha iliyoitwa Les Mwenge. Kibao hicho 'Kilamunu ave na kwao' kilinifanya nitake kujua bendi gani inapiga wimbo huo?  Na nikakuta wanamuziki vijana kabisa na bendi yao inaitwa Bamis Band. Bendi hii makao yake makuu yako Msasani ilinikaribisha jukwaani tukapiga pamoja wimbo wa Tancut Almasi Orchestra Masafa Marefu, ilikuwa raha japo nyuzi za magitaa yao zilikuwa zimekwisha tumika mno na hivyo kupoteza sehemu kubwa ya ladha ya onyesho lao
Adam Hassan

Said Mlinge

Hussein

Likwambe

Aresha

Comments