Tuesday, May 3, 2011

Manywele Kimwana wa Twanga jukwaani 6 May


Pombe na muziki

 
Pombe imeharibu show nyingi nzuri za muziki, pombe imewamaliza wanamuziki wengi wazuri, pombe imezuia maendeleo ya kimuziki ya wanamuziki wengi. Pamoja na kwamba inaonekana kama pombe na muziki vina uhusiano, POMBE HAIMFAI MWANAMUZIKI ANAEHESHIMU KAZI YAKE

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...