Thursday, May 26, 2011

Tanzania kumejaa wanamuziki wa aina nyingi sana..................

Bahati mbaya sana vyombo vya habari vya nchi hii vinabagua aina fulani za muziki na kuzifanya kama hazipo, lakini nchi hii yenye makabila zaidi ya 120 ina muziki na wanamuziki wa aina nyingi sana, Aksante Mungu kwa bahati hii

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...