Tuesday, June 21, 2011

Muziki asili


Kwa kweli Tanzania kuna miziki ya aina nyingi sana kumbuka kuna makabila 120 na zaidi na kila kabila lina aina yake ya muziki, kuna ala za muziki aina nyingi mno, siku hizi vijana wameweza kuja na ngoma ambazo wanachanganya ala kutoka makabila mbalimbali na hivyo kuongeza utamu wa muziki asili wa Tanzania.

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...