Monday, August 6, 2012

Super Nyamwela atoka Ulaya afikia Muhimbili


 
Leo Extra Bongo leo wamerudi jijini wakitoka katika safari yao ya mafanikio iliyowapeleka kufanya maonyesho katika ya nchi kadhaa za Ulaya, Wakati wanamuziki wote wakielekea nyumbani kupumzika Kiongozi wa Show ya Extra Bongo Musa Hassan aka Super Nyamwela alifikia Muhimbili ambako mkewe amejifungua mtoto wa kike. HONGERA NYAMWELA

Picha kutoka www.extrabongo.blogspot.com

Picha kutoka www.extrabongo.blogspot.com

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...