Monday, January 27, 2014

MSANII WA KUNDI LA FUTUHI AFARIKI JIONI YA LEO MWANZA

-->

SIKU YA LEO SI NZURI KWA WASANII WA TANZANIA KWANI MSANII WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI, AMBALO HUONYESHA VIPINDI VYAKE KATIKA KITUO CHA STAR TV AMEFARIKI LEO JIONI KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA. MSANII HUYU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA DUDE ANASEMEKANA AMEFARIKI KWA MATATIZO YA TUMBO.
MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI.

MPIGA TUMBA MAARUFU WA TWANGA PEPETA, MCD AFARIKI DUNIA


-->
KWA MAELEZO YALIYOTOLEWA PUNDE NA MENEJA WA AFRICAN STARS BAND TWANGA PEPETA, HASSAN REHANI, MPIGA TUMBA MAARUFU  SOUD MOHAMMED SAID MAARUFU KAMA MCD AMEFARIKI DUNIA LEO. MCD KWA MIEZI MICHACHE ILIYOPITA ALIKUWA MOSHI ALIKOKUWA ANAPATA MATIBABU, AMEFIA HUKOHUKO MOSHI. HABARI ZAIDI ZA MSIBA  ZITAFUATA

MUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA PEPONI

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...