SIKU YA LEO SI NZURI KWA WASANII WA TANZANIA KWANI MSANII WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI, AMBALO HUONYESHA VIPINDI VYAKE KATIKA KITUO CHA STAR TV AMEFARIKI LEO JIONI KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA. MSANII HUYU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA DUDE ANASEMEKANA AMEFARIKI KWA MATATIZO YA TUMBO.
MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI.
Comments