-->
KWA MAELEZO YALIYOTOLEWA PUNDE NA MENEJA WA AFRICAN STARS
BAND TWANGA PEPETA, HASSAN REHANI, MPIGA TUMBA MAARUFU SOUD MOHAMMED SAID MAARUFU KAMA MCD
AMEFARIKI DUNIA LEO. MCD KWA MIEZI MICHACHE ILIYOPITA ALIKUWA MOSHI ALIKOKUWA ANAPATA MATIBABU, AMEFIA HUKOHUKO MOSHI. HABARI ZAIDI ZA MSIBA ZITAFUATA
MUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA PEPONI
Comments