Saturday, October 6, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 LEO LEADERS



Video streaming by Ustream 
BAADA YA MZUNGUKO ULIOKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA NCHI NZIMA HATIMAE LEO SERENGETI FIESTA 2012 ITAKUWEPO LEADERS CLUB. BLOG MAARUFU YA DJ CHOKA- www.djchoka.blogspot.com
ITAKUWA NA LIVE STREAMING YA SHUGHULI NZIMA YA LEO- UTAMU HUO UTAONGEZEKA KWA KUWEPO KWA RAPPER MAARUFU, WILLIAM LEORNARD ROBERTS II, MAARUFU ZAIDI KWA JINA LA RICK ROSS. RICK MWENYE UTAJIRI WA THAMANI YA DOLA MILIONI 25, ANATAEGEMEWA KUONYESHA KILE KINACHOMFANYA AWE JUU KATIKA AINA YA MUZIKI WAKE. UTAKUWA USIKU MKUBWA HUU    

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...