Skip to main content

Posts

Showing posts from July 18, 2012

MUNGU AWALAZE PEMA WALIOPOTEZA MAISHA, NA KUWASAIDIA WAPONE HARAKA WALIOJERUHIWA-AMEN

Mdogo wake Isha Mashauzi naye aanza kutoa cheche

Binti mdogo Saida, ambae ni mdogo wake wa nne wa Isha Mashauzi, ameanza kuonyesha cheche katika uimbaji wake na kuleta tegemeo la kuweza kufikia upeo wa dada yake. Salma ni mmoja wa waimbaji katika kundi la Mashauzi Classic

Mashauzi Classic wavunja jungu katika ukumbi wa Mango