Friday, February 1, 2013

5 STAR MODERN TAARAB JUKWAANI GARDEN BREEZE BAR MAGOMENI

KUNDI jingine tena lilikuwa jukwani katika kiota hiki chenye eneo kubwa la wazi na muziki buree. Leo ilikuwa zamu ya 5 Star Modern Taarab.
MAGOMO MOTO SOUND BAND

ELLY CHINYAMA

MASU


KALONDA KAPIZO

FANTASYA

TOFFY


PHAREED

FATUMA

Magoma Moto Sound Band ilianza 1995, ikiongozwa na John Kitime. Na wanamuziki kama Luiza Nyoni, Yahaya Mkango, Juma Malembeka, kapizo Kalonda, Modesta Nyoni (dada yake mkubwa wa Luiza), Joseph Watuguru, Albert Chikopa, Ben Omary na wengine wengi walipitia katika kundi hili wakati huo. Kwa sasa kundi liko chini ya Kapizo Kalonda, na sasa lina wanamuziki kama Elly Chinyama  kwenye solo, Bija, Fantasya, Shaky na mtoto wa mwanamuziki wa siku nyiki Anna Mwaole, Phareed Loukua ambae  nae akiwa muimbaji kama mama yake. Niliwakuta wakiporomosha muziki katika bar maarufu Mwenge inayoitwa Playtime Bar, nilipanda na kushiriki kupiga nyimbo mbili ukiwemo wimbo wa Cuban Marimba chini ya Salum Abdallah,  Ngoma Iko huku

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...