Monday, December 10, 2012

Tanzania Film Training Center..Yafanya mahafali ya kwanza

Tanzania Film Training Center leo imeanzisha rasmi mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya filamu, mapinduzi ambayo mtu yoyote mwenye mapenzi mema na tasnia nzima ya burudani Tanzania atafurahia na kuyaombea yaendelee na kuenea kwenye fani nyingine zote. Leo wahitimu zaidi ya 30 wamehitimu masomo ya fani mbalimbali za utengenezaji wa filamu. Sherehe ya leo ilifana sana na mgeni wa heshima alikuwa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Film Board Mama Fisoo. Kati ya wasanii walionyesha njia ni msanii maarufu Zawadi ambaye licha ya kuwa ameshakuwa katika tasnia kwa miaka mingi tokea enzi za mwanzo za Kaole, aliona ni vema akiingia darasani na kupata uelewa wa fani kupitia masomo ya chuoni  
Wahitimu


High Table Katibu Mkuu TAFF, Rais TAFF, Mkuu wa Chuo Tanzania Film Training Center, Mtendaji Mkuu Tanzania Film  Board

Picha ya pamoja

Ufunguzi wa dansi rasmiZawadi na familia yake


RayC BOUNCES BACK FROM THE COLD


The President shaking hands with RayC

Rehema’s mother Margeth Mtweve, The President, RayC and Saraha Mtweve, the singer’s sister.
Rehema Chalamila, one of the top Tanzanian female musician who fell victim to drug addiction, has made an amazing recovery and has promised to be on stage again within a short time. RayC whose medical bill were paid by the President of Tanzania Dr.Jakaya Kikwete, went  to meet and thank The President for the kind deed.
We wish RayC all the best in her struggle for a comeback