Thursday, August 2, 2012

Serengeti Freight kujitanua Kenya na Sudani Kusini

Mkurugenzi wa Serengeti freight CHRIS LUKOSI akiwa pamoja na Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Kenya Mheshimiwa SAMUEL PHOGISO na mkurugenzi wa Kenya Central Bank, Sudan branch, MARIHA NYALIET CHOL, bila kusahau dada SHOSE KOMBE ambaye ni Mtanzania na ni customer service supervisor wa KCB Tanzania. Kwenye mkutano huo ulioandaliwa na Ubalozi wa Kenya hapa UK . Serengeti Freight ni kampuni inayokua kwa kasi nchini UK na inategemea kufungua matawi mbali mbali nchini KENYA na South Sudan

(Picha kwa hisani ya misterseed)

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...