Monday, August 1, 2011

Wana Twanga Pepeta wakiwa TCC Club Chang'ombe week end iliyopita

 
Kwa muda mrefu kila Jumapili African Stars Band huwa TTC Club, ni raha kutembelea club hii wakati huo.AmigolasShakashiaKibosho swafiiiiiii


Kocha wa dunia Mumini Mwinjuma

Semsekwa


LuizaMUZIKI NA FILAMU NI NDUGU

MUZIKI na filamu ni ndugu, japokuwa muziki ulikuweko kabla ya filamu. Filamu za kwanza zilipoanza kutengenezwa, kulikuwa...