Friday, June 10, 2011

Extra Bongo

Kila Ijumaa Extra Bongo utawakuta katika kijiwe chao pale Meeda Bar Sinza. Mambo mazito nakwambia
Kitime na Chocky

Rogati na Banza

Wazee Sugu

King Kiki na Wazee Sugu hufanya maonyesho yao kila Ijumaa katika uwanja wa Cine Club Mikocheni, wakiwa wanapiga muziki na Bahari ya Hindi ikiwa mbele yao utamu unakuwa wa namna nyingine kabisa.
Kabeya Badu na King Kiki


Kembo Nayawe

King Kiki na John KitimeAkudo ImpactBendi ya Akudo Impact huwa inafanya maonyesho yake ya nguvu kila Ijumaa katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni, si mchezo


Diamond -mfalme wa Wasafi kutumbuiza Uswidi


JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...