Tuesday, May 24, 2011

K- Mondo Sound-Wazee wa Kibajaj

K-Mondo Sound, Wazee wa Kibajaj, bendi yenye vijana ambao wanapiga muziki unaweza ukasema muziki uliowazidi umri. Kila Ijumaa jioni wanakuweko paleTriz Motel, zamani Tiger Motel Mbezi. Bendi hii ambayo kila idara iko vizuri, wapigavyombo safi na waimbaji wazuri sana akiwemo Mangustino, na binti Vumi.
 A great band
JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...