Skip to main content

Posts

Showing posts from March 14, 2013

IRENE UWOYA, RAY, JB , KING MAJUTO NDANI YA RWANDA MOVIE AWARDS

The Rwanda Movie Awards zilizofanyika Kigali Serena Hotel siku ya Jumapili iliyopita zilikuwa ni shughuli ya masaa matatu na nusu yenye shamra shamra za hali ya juu, zilizoongozwa na mtangazaji maarufu wa Radio Rwanda Tidjara Kabendera. Shughuli nzima ilianza saa moja kamili usiku ambapo wapenzi wa filamu toka kila kona ya jiji la Kigali waliingia katika ukumbi wa Serena Hotel ili kuona kuzinduliwa kwa Rwanda Movie Awards. Nyota wa filamu kutoka Tanzania walikuwepo wakiwakilishwa na Irene Pankras Uwoya, Ray Kigosi na Jacobs Stephen, walioambatana na mchekeshaji maarufu King Majuto Tuzo zilitolewa kwa category mbalimbali ambazo zilifuata maamuzi ya majaji, na pia kulikuwa na kura kupitia internet ambazo zilizotoa ‘people's choice’. Kulikuweko na category kumi ikiwemo ya the Best Child actor. Tuzo zilikwenda kwa wafuatao; Best film documentary: The impact of given a cow to the people of Rwanda by Ishmael Ntihabose. Best short film: Kivuto Best Actor: Munanura Habyalare Best Actress: Fidel…

HAPPY BIRTHDAY SUSAN 'NATASHA 'LEWIS

HAPPY BIRTHDAY MAMA MONALISA, MUNGU AKUZIDISHIE SIKU UENDELEE KUTUPA BURUDANI