Tuesday, October 11, 2011

Timbulo, wimbo Domo Langu, umeiba au umeibiwa?

Hapa naweka video mbili DOMA LANGU ya Timbulo msanii wetu na YELELE ya X Maleya wa Cameroun. Swali nani mwizi hapa?