Friday, February 28, 2014

FILAMU YA KUTAKAPOKUCHA IKO NJIANI KUTOKA..JOHN KITIME NDANI ONJA HAPA


MKUTANO WA WASANII NA VYOMBO VYA HABARI WAFANYIKA

MKUTANO ULIOKUSANYA WASANII WA FANI MBALIMBALI ULIFANYIKA LEO KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI AMBAPO MGENI RASMI ALIKUWA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BASATA. MKUTANO HUO AMBAO ULIHUDHURIWA NA WAANDISHI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI ULIFANA KWA AINA YA MACHANGANYIKO WA WASANII. WASANII WALIKUWA HAPO KUELEZA AZMA YAO YA KUONA SWALA LA WAO KUTAMBULIKA KATIKA KATIBA LINASHUGHULIKIWA NA SWALA LA MILIKIBUNIFU (INTELLECTUAL PROPERTY) LINAWEKWA KATIKA KATIBA. BAADA YA MKUTANO NA WAANDISHI WASANII WALIBAKI NA KUTAFAKARI TUNAKOELEKEA NA PAMOJA NA MENGINE ILIPENDEKEZWA KUFANYIKE MAANDAMANO YA KUSHUKURU KUPATA MUWAKILISHI KUTOKA KUNDI LA WASANII
WASANII MAARUFU WA HIPHOP WATETEA NAFASI YA WASANII KATIKA KATIBA SIKILIZA WIMBO WAO

WIMBO UNAITWA : HAKI INTRO : HON. JANUARY MAKAMBA CHORUS: QUICK ROCKA 1ST VERSE: MOX, GODZILLA, KALAJEREMIAH & G-NAKO 2ND VERSE: NIKKI WA PILLI, FID-Q, JOH MAKINI & GOZ B 3RD VERSE: PROFESSOR JAY, MWANA FA, DANNY MSIMAMO & KALAPINA OUTRO : HON. JOSEPH MBILINYI ( SUGU )