Friday, March 2, 2012

Ijumaa Dar es Salaamaa Motooooo-Msondo wakiwa Leaders Club

Wakiwa chini ya udhamini wa Konyagi, Msondo Group imekuwa ikiporomosha muziki kila Ijumaa pale Leaders Club kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tano usiku

Ijumaa Dar es Salaamaa Motooooo-Sikinde wakiwa Break Point katikati ya jiji

Katikati ya Jiji la Dar es Salaam, pale Breakpoint Bar kila Ijumaa ndo utalikuta kundi zima la Sikinde likikumbusha vibao kem kem vya bendi hiyo vinavyoendelea kutamba mpaka leo. Kama ni mpenzi wa Sikinde usikose ni raha tupu.
Ally Jamwaka

Yusuf BernardMjusi Shemboza

Mgalus


Hassan Rehani Bitchuka

Ijumaa Dar es Salaamaa Motooooo-Mtudumbe Group wakiwa T Garden Sinza

Band ya Mtudumbe Group itakuwa kila siku ya Ijumaa pale T Garden Sinza, kona ya kwenda Lion Hotel. Nimemkuta mkongwe Roshi Mselewa na Duncan Ndumbalowakiendeleza utamu
Ramadhan Makoa


Roshi Mselewa

Robert

Duncan Ndumbalo

Azizi Kimindu Nyapinyapi Fungu la kukosa

Julius Njugambili

Mustafa Liganga

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...