Ijumaa Dar es Salaamaa Motooooo-Mtudumbe Group wakiwa T Garden Sinza Posted by jfk on March 02, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Band ya Mtudumbe Group itakuwa kila siku ya Ijumaa pale T Garden Sinza, kona ya kwenda Lion Hotel. Nimemkuta mkongwe Roshi Mselewa na Duncan Ndumbalowakiendeleza utamu Ramadhan Makoa Roshi Mselewa Robert Duncan Ndumbalo Azizi Kimindu Nyapinyapi Fungu la kukosa Julius Njugambili Mustafa Liganga Comments
Comments